Pata habari zote kali kuhusu Soka la Bongo kupitia APP hii ambapo inakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili,mechi na matukio muhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania
App hii itakupa habari za moja kwa moja kutoka klabu zifuatazo
Azam Fc
Mbeya City
Simba Sc
Yanga Sc
Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezo nchini kama.
Mwanaspoti
Championi
Bingwa